CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 10
Mashujaa hao wanastahili
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 8–12
Soma-kifungwkJtug-tqchQkishmujibu-maswgJi9hqdiJq12
Mawazo yangu yanapokumbuka mateso yaliyowapata mashujaa wa uhuru, machozi
hunidondoka sana. Watu hao waliishi maisha yasiyopendeza hota kidogo. Walijificha
katika misitu, mazingira yaliyojaa wanyama hatari, wadudu na uchgfu. Hakuna magari
yaliyowasafirisha ila tu kutembea kwa miguu. Pengine walikunywa maji yaliyokuwc,
machafu na kujipata katika hatari ya kuambukizwa magonjwa yanayoambukizwa kutokano
na uchafu. Haja yao haikuwa kufurahia maziwa yaliyokuwa baridi bali kuona nchi yetu
ikiwa huru kutokana na mateso ya wakoloni. Mashujaa hao wanastahili heshirna
taadhima kuu. Kongole kwao.

- Akuadhibiwa kwa usaliti
- Bkutiwa mbaroni haraka sana
- Ckupewa heshima na kutambuliwa
- Dkuzuiliwa kizimbani
Answer
C. kupewa heshima na kutambuliwa
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Neno 'uchafu' limetumiwa katiko kifungu. Kinyume cha uchafu niQuestion 11
- Ujana unaelezwa kama nini?Question 13
- Jamii hutambua ujana kwa kutumia nini?Question 14
- Katika kipindi cha kwanza cha ujana, nini hutokea?Question 15
- Ujana unahusisha mabadiliko yapi?Question 16
- Ni mabadiliko yapi hujitokeza katika wasichana?Question 17