CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 9
Tunasimuliwa kuwa mashujaa walisafiri
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 8–12
Soma-kifungwkJtug-tqchQkishmujibu-maswgJi9hqdiJq12
Mawazo yangu yanapokumbuka mateso yaliyowapata mashujaa wa uhuru, machozi
hunidondoka sana. Watu hao waliishi maisha yasiyopendeza hota kidogo. Walijificha
katika misitu, mazingira yaliyojaa wanyama hatari, wadudu na uchgfu. Hakuna magari
yaliyowasafirisha ila tu kutembea kwa miguu. Pengine walikunywa maji yaliyokuwc,
machafu na kujipata katika hatari ya kuambukizwa magonjwa yanayoambukizwa kutokano
na uchafu. Haja yao haikuwa kufurahia maziwa yaliyokuwa baridi bali kuona nchi yetu
ikiwa huru kutokana na mateso ya wakoloni. Mashujaa hao wanastahili heshirna
taadhima kuu. Kongole kwao.

Tunasimuliwa kuwa mashujaa
walisafiri
- Akwa kutumia miguu
- Bkwa kutumia garimoshi
- Ckwa kutumia gari
- Dkwa kutumia ndege
Answer
A. kwa kutumia miguu
The correct option is A.