naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 11

Neno 'uchafu' limetumiwa katiko kifungu. Kinyume cha uchafu ni

From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Kifungu cha Maswali 8–12
Soma-kifungwkJtug-tqchQkishmujibu-maswgJi9hqdiJq12
Mawazo yangu yanapokumbuka mateso yaliyowapata mashujaa wa uhuru, machozi
hunidondoka sana. Watu hao waliishi maisha yasiyopendeza hota kidogo. Walijificha
katika misitu, mazingira yaliyojaa wanyama hatari, wadudu na uchgfu. Hakuna magari
yaliyowasafirisha ila tu kutembea kwa miguu. Pengine walikunywa maji yaliyokuwc,
machafu na kujipata katika hatari ya kuambukizwa magonjwa yanayoambukizwa kutokano
na uchafu. Haja yao haikuwa kufurahia maziwa yaliyokuwa baridi bali kuona nchi yetu
ikiwa huru kutokana na mateso ya wakoloni. Mashujaa hao wanastahili heshirna
taadhima kuu. Kongole kwao.

Neno 'uchafu' limetumiwa katiko
kifungu. Kinyume cha uchafu ni

  1. Amaradhi
  2. Busafi
  3. Cmazingira
  4. Duwe!e

Answer

B. usafi

The correct option is B.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test