CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025: Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5)
Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 36 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi.
All 36 questions with answers
- Question 1: SEHEMU 1: KUSOMA UFAHAMU 1. Ni wito gani uliotolewa na kiongozi kwa ndege wengine? (alama 1)Answer: Aliwahimiza wafanye bidii kazini (wachanike kwenye mpini) ili kuepuka shida za ukosefu.
- Question 2: Ndege hawa waliishi kwa kujaliana maslahi. Andika mfano mmoja kutoka kwenye kifungu kubainisha kauli hii. (alama 2)Answer: Ndege wengine walipoona Tausi anaweza kuangamia wakati wa mafuriko, walimpa msaada wa chakula.
- Question 3: Kwa nini ndege hawakutaabika mafuriko yalipoharibu takriban kila kitu? (alama 1)Answer: Walikuwa wamejiwekea akiba ya chakula katika maghala yao.
- Question 4: Eleza funzo linalopatikana katika kifungu hiki. (alama 1)Answer: Tufanye bidii na kuweka akiba kwa ajili ya siku za shida.
- Question 5: Kwa nini mwandishi anasema kuwa kila mmoja hawezi kuwa mwajiriwa? (alama 1)Answer: Kwa sababu wanahitajika waajiri pia; kama sote tutakuwa waajiriwa, hakutakuwa na wa kutuajiri.
- Question 6: Mwandishi anasema kuwa vijana na watu wa makamo wanakula mumbi. Hii ni sawa na kusema (alama 1) (wanakula mwata, wanalaza damu, wanakula…Answer: wanakula mwata
- Question 7: Serikali inawajibika kukabiliana na tatizo la uhaba wa kazi. Ni jambo lipi katika kifungu linalothibitisha kauli hii? (alama 2)Answer: Serikali imekuwa ikiwahimiza vijana walio shuleni wajifunze kazi za kiufundi ili waanzishe miradi ya…
- Question 8: Neno hadhi limetumika katika kifungu. Badala ya neno hilo, mwandishi pia angetumia (alama 1) (hali, umuhimu, heshima, mali)Answer: heshima
- Question 9: Andika ujumbe wa aya ya kwanza kwa sentensi moja. (alama 1)Answer: Kila mtu anaweza kufanikiwa maishani akiwa na nia thabiti na kutokata tamaa.
- Question 10: “Kuwa na nia pekee hakutoshi kumletea mtu mafanikio. Azma hiyo inapaswa kuandamana na uwajibikaji. Mtu akilaza damu huwa muhali kupata…Answer: Mafanikio yanahitaji nia pamoja na uwajibikaji.
- Question 11: Fupisha aya ya mwisho kwa sentensi moja. (alama 1)Answer: Amini kuwa nawe utafanikiwa na ujitahidi, kwani penye nia pana njia.
- Question 12: Andika kichwa kifaacho zaidi kwa kifungu hiki. (alama 1)Answer: Siri ya Mafanikio
- Question 13: 13.Answer: C. limekuwa
- Question 14: 14.Answer: A. kubwa
- Question 15: 15.Answer: B. hasa
- Question 16: 16.Answer: D. kuhamia
- Question 17: 17.Answer: C. kusaga meno
- Question 18: SEHEMU 3: LUGHA 18. Pigia mstari vivumishi vya sifa kati ya hizi. Safi, gumu, yule, hicho, hapa, yangu, kwao, vinne, wengi. (Andika…Answer: safi, gumu
- Question 19: Sentensi ‘Matano atazifua nguo za wanuna wake’ iko katika wakati ujao. Iandike upya sentensi hiyo katika hali timilifu.Answer: Matano amezifua nguo za wanuna wake.
- Question 20: Tumia viambishi vifaavyo zaidi kujaza nafasi katika sentensi hii. Michezo aliyoshiriki …me…boresha afya yake.Answer: Michezo aliyoshiriki imeiboresha afya yake.
- Question 21: Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Ayub hajawahi kulitembelea jiji kuu nchini.Answer: kulitembelea
- Question 22: Andika sentensi ifuatayo upya kwa kutumia vinyume vya maneno yaliyoangaziwa. [Mzee] [mpole] alishiriki michuano hiyo kwa ukakamavu.…Answer: Kijana mkali alishiriki michuano hiyo kwa ukakamavu.
- Question 23: Maneno ‘upishi’ na ‘ulezi’ huorodheshwa katika ngeli ipi?Answer: U-YA
- Question 24: Andika sentensi ifuatayo upya katika kauli ya kutendea. Mama aliubeba mkoba wa binti yake.Answer: Mama alimbebea binti yake mkoba.
- Question 25: Upi ni ukanusho sahihi wa sentensi ifuatayo? Mvua ilinyesha sana juma lililopita.Answer: Mvua haikunyesha sana juma lililopita.
- Question 26: Badilisha sentensi ifuatayo katika hali ya udogo. Mkoba wa mtoto huyo una vitabu vichache.Answer: Kikoba cha kitoto hicho kina vijitabu vichache.
- Question 27: Andika usemi wa taarifa wa sentensi uliyopewa. “Mtashiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia kesho,” Mwalimu aliwaambia wanafunzi.Answer: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba wangeshiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia siku iliyofuata.
- Question 28: SEHEMU 4: FASIHI (a) Wimbo huu ni wa aina gani?Answer: Wimbo wa watoto (wa kuwaonya / kuwafunza watoto).
- Question 29: (b) Eleza sifa mbili za wimbo wa aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu.Answer: Una urudiaji ("aiya aiya"), na una maneno yasiyo na maana yanayoongeza mdundo.
- Question 30: (c) Nyimbo za aina hii ni muhimu katika jamii. Toa mifano miwili ya umuhimu huo.Answer: Huburudisha watoto na hukashifu tabia mbaya.
- Question 31: (d) Fafanua tabia mbili za mhusika ambazo zinapingwa katika wimbo huu.Answer: Uvivu – hakipendi masomo; kulia ovyo – kinalilia mama na chakula darasani.
- Question 32: (e) Ikiwa mtoto anayeimbiwa wimbo huu angekuwa katika jamii yako, ungempa ushauri gani?Answer: Apende masomo, amsikilize mwalimu na aache kulia ovyo.
- Question 33: (a) Eleza masuala mawili (maudhui) yanayojitokeza katika dondoo hili.Answer: Utovu wa nidhamu shuleni (kejeli za Kijungwe) na ukeketaji (tohara ya wasichana).
- Question 34: (b) Taja wahusika watatu kutokana na dondoo hili.Answer: Tumaini, Kijungwe na mwalimu (pia Majuto).
- Question 35: (c) Eleza sifa mbili za Tumaini.Answer: Mwenye bidii – alifanya bidii kama mchwa masomoni; jasiri – alikataa tohara na ndoa.
- Question 36: (d) Mwandishi ametumia mbinu mbalimbali za lugha. Huku ukitolea mifano mwafaka eleza mbinu zozote tatu zilizotumika katika dondoo hili.Answer: Tashbihi – "alifanya bidii kama mchwa"; nahau – "kuchana mbuga"; methali / swali la balagha – "Pilipili…