naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 19

Sentensi ‘Matano atazifua nguo za wanuna wake’ iko katika wakati ujao. Iandike upya sentensi hiyo katika hali timilifu.

From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati

19. Sentensi ‘Matano atazifua nguo za wanuna wake’ iko katika wakati ujao. Iandike upya sentensi hiyo katika hali timilifu.

Answer

Matano amezifua nguo za wanuna wake.

Hali timilifu: -me-.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test