CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 21
Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Ayub hajawahi kulitembelea jiji kuu nchini.
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitenzi
21. Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo.
Ayub hajawahi kulitembelea jiji kuu nchini.
Answer
kulitembelea
"hajawahi" ni kitenzi kisaidizi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi ifuatayo upya kwa kutumia vinyume vya maneno yaliyoangaziwa. [Mzee] [mpole] alishiriki michuano hiyo…Question 22
- Maneno ‘upishi’ na ‘ulezi’ huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 23
- Andika sentensi ifuatayo upya katika kauli ya kutendea. Mama aliubeba mkoba wa binti yake.Question 24
- Upi ni ukanusho sahihi wa sentensi ifuatayo? Mvua ilinyesha sana juma lililopita.Question 25
- Badilisha sentensi ifuatayo katika hali ya udogo. Mkoba wa mtoto huyo una vitabu vichache.Question 26
- Andika usemi wa taarifa wa sentensi uliyopewa. “Mtashiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia kesho,” Mwalimu aliwaambia…Question 27