CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 27
Andika usemi wa taarifa wa sentensi uliyopewa. “Mtashiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia kesho,” Mwalimu aliwaambia wanafunzi.
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi wa Taarifa
27. Andika usemi wa taarifa wa sentensi uliyopewa.
“Mtashiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia kesho,” Mwalimu aliwaambia wanafunzi.
Answer
Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba wangeshiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia siku iliyofuata.
Mtashiriki → wangeshiriki; kesho → siku iliyofuata.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU 4: FASIHI (a) Wimbo huu ni wa aina gani?Question 28
- (b) Eleza sifa mbili za wimbo wa aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu.Question 29
- (c) Nyimbo za aina hii ni muhimu katika jamii. Toa mifano miwili ya umuhimu huo.Question 30
- (d) Fafanua tabia mbili za mhusika ambazo zinapingwa katika wimbo huu.Question 31
- (e) Ikiwa mtoto anayeimbiwa wimbo huu angekuwa katika jamii yako, ungempa ushauri gani?Question 32
- (a) Eleza masuala mawili (maudhui) yanayojitokeza katika dondoo hili.Question 33