CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 26
Badilisha sentensi ifuatayo katika hali ya udogo. Mkoba wa mtoto huyo una vitabu vichache.
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Udogo
26. Badilisha sentensi ifuatayo katika hali ya udogo.
Mkoba wa mtoto huyo una vitabu vichache.
Answer
Kikoba cha kitoto hicho kina vijitabu vichache.
Udogo huchukua ki-/vi-.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika usemi wa taarifa wa sentensi uliyopewa. “Mtashiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia kesho,” Mwalimu aliwaambia…Question 27
- SEHEMU 4: FASIHI (a) Wimbo huu ni wa aina gani?Question 28
- (b) Eleza sifa mbili za wimbo wa aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu.Question 29
- (c) Nyimbo za aina hii ni muhimu katika jamii. Toa mifano miwili ya umuhimu huo.Question 30
- (d) Fafanua tabia mbili za mhusika ambazo zinapingwa katika wimbo huu.Question 31
- (e) Ikiwa mtoto anayeimbiwa wimbo huu angekuwa katika jamii yako, ungempa ushauri gani?Question 32