CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 31
(d) Fafanua tabia mbili za mhusika ambazo zinapingwa katika wimbo huu.
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 2 marks · Topic: Fasihi, Nyimbo
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali.
Kione kitoto aiya aiya
Kitoto kivivu aiya aiya
Hakipendi masomo aiya aiya
Asubuhi chalia aiya aiya.
Kikiwa shuleni aiya aiya
Kila mara kilio aiya aiya
Namtaka mama aiya aiya
Chataka kunyonya aiya aiya.
Mwalimu akifunza aiya aiya
Chazidi kulia aiya aiya
Eti njaa kinahisi aiya aiya
Machozi kapakapa aiya aiya.
Wengine wanasoma aiya aiya
Chataka chakula aiya aiya
Mwalimu mkali aiya aiya
Akipa maonyo aiya aiya.
(d) Fafanua tabia mbili za mhusika ambazo zinapingwa katika wimbo huu.
Answer
Uvivu – hakipendi masomo; kulia ovyo – kinalilia mama na chakula darasani.
Kitoto kinavyofanya.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- (e) Ikiwa mtoto anayeimbiwa wimbo huu angekuwa katika jamii yako, ungempa ushauri gani?Question 32
- (a) Eleza masuala mawili (maudhui) yanayojitokeza katika dondoo hili.Question 33
- (b) Taja wahusika watatu kutokana na dondoo hili.Question 34
- (c) Eleza sifa mbili za Tumaini.Question 35
- (d) Mwandishi ametumia mbinu mbalimbali za lugha. Huku ukitolea mifano mwafaka eleza mbinu zozote tatu zilizotumika…Question 36
- SEHEMU 1: KUSOMA UFAHAMU 1. Ni wito gani uliotolewa na kiongozi kwa ndege wengine? (alama 1)Question 1