CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 20
Tumia viambishi vifaavyo zaidi kujaza nafasi katika sentensi hii. Michezo aliyoshiriki …me…boresha afya yake.
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viambishi
20. Tumia viambishi vifaavyo zaidi kujaza nafasi katika sentensi hii.
Michezo aliyoshiriki …me…boresha afya yake.
Answer
Michezo aliyoshiriki imeiboresha afya yake.
Michezo (ngeli ya U-I, wingi I) huchukua i-: i-me-i-boresha.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Ayub hajawahi kulitembelea jiji kuu nchini.Question 21
- Andika sentensi ifuatayo upya kwa kutumia vinyume vya maneno yaliyoangaziwa. [Mzee] [mpole] alishiriki michuano hiyo…Question 22
- Maneno ‘upishi’ na ‘ulezi’ huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 23
- Andika sentensi ifuatayo upya katika kauli ya kutendea. Mama aliubeba mkoba wa binti yake.Question 24
- Upi ni ukanusho sahihi wa sentensi ifuatayo? Mvua ilinyesha sana juma lililopita.Question 25
- Badilisha sentensi ifuatayo katika hali ya udogo. Mkoba wa mtoto huyo una vitabu vichache.Question 26