CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 23
Maneno ‘upishi’ na ‘ulezi’ huorodheshwa katika ngeli ipi?
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
23. Maneno ‘upishi’ na ‘ulezi’ huorodheshwa katika ngeli ipi?
Answer
U-YA
upishi – mapishi; ulezi – malezi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi ifuatayo upya katika kauli ya kutendea. Mama aliubeba mkoba wa binti yake.Question 24
- Upi ni ukanusho sahihi wa sentensi ifuatayo? Mvua ilinyesha sana juma lililopita.Question 25
- Badilisha sentensi ifuatayo katika hali ya udogo. Mkoba wa mtoto huyo una vitabu vichache.Question 26
- Andika usemi wa taarifa wa sentensi uliyopewa. “Mtashiriki mjadala kuhusu usawa wa kijinsia kesho,” Mwalimu aliwaambia…Question 27
- SEHEMU 4: FASIHI (a) Wimbo huu ni wa aina gani?Question 28
- (b) Eleza sifa mbili za wimbo wa aina hii zinazojitokeza katika wimbo huu.Question 29