CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 18
SEHEMU 3: LUGHA 18. Pigia mstari vivumishi vya sifa kati ya hizi. Safi, gumu, yule, hicho, hapa, yangu, kwao, vinne, wengi. (Andika vivumishi vya sifa.)
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vivumishi
SEHEMU 3: LUGHA
18. Pigia mstari vivumishi vya sifa kati ya hizi.
Safi, gumu, yule, hicho, hapa, yangu, kwao, vinne, wengi.
(Andika vivumishi vya sifa.)
Answer
safi, gumu
Vivumishi vya sifa hueleza jinsi kitu kilivyo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi ‘Matano atazifua nguo za wanuna wake’ iko katika wakati ujao. Iandike upya sentensi hiyo katika hali timilifu.Question 19
- Tumia viambishi vifaavyo zaidi kujaza nafasi katika sentensi hii. Michezo aliyoshiriki …me…boresha afya yake.Question 20
- Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Ayub hajawahi kulitembelea jiji kuu nchini.Question 21
- Andika sentensi ifuatayo upya kwa kutumia vinyume vya maneno yaliyoangaziwa. [Mzee] [mpole] alishiriki michuano hiyo…Question 22
- Maneno ‘upishi’ na ‘ulezi’ huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 23
- Andika sentensi ifuatayo upya katika kauli ya kutendea. Mama aliubeba mkoba wa binti yake.Question 24