CBC Grade 8 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 16
16.
From Kiswahili — Mid Term Assessment, Term 1 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Mapengo
Chagua jibu bora zaidi kujaza pengo.
Tatizo la ulanguzi wa binadamu __13__ changamoto __14__ humu nchini. Watu wengi, __15__ wachochole, wanalaghaiwa __16__ ughaibuni huku wakiahidiwa kupata ajira. Mwishowe wanaishia __17__ kwa kujipata utumwani.
16.
- Akuhamishwa
- Bkuhamisha
- Ckuhama
- Dkuhamia
Answer
D. kuhamia
Kuhamia ughaibuni.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU 3: LUGHA 18. Pigia mstari vivumishi vya sifa kati ya hizi. Safi, gumu, yule, hicho, hapa, yangu, kwao, vinne,…Question 18
- Sentensi ‘Matano atazifua nguo za wanuna wake’ iko katika wakati ujao. Iandike upya sentensi hiyo katika hali timilifu.Question 19
- Tumia viambishi vifaavyo zaidi kujaza nafasi katika sentensi hii. Michezo aliyoshiriki …me…boresha afya yake.Question 20
- Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Ayub hajawahi kulitembelea jiji kuu nchini.Question 21
- Andika sentensi ifuatayo upya kwa kutumia vinyume vya maneno yaliyoangaziwa. [Mzee] [mpole] alishiriki michuano hiyo…Question 22
- Maneno ‘upishi’ na ‘ulezi’ huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 23