CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 5)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · Revision 2026 (Booklet 5) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na aya ya kwanza, ni nini kilichomfanya Masha kuanza maisha ya uhalifu?Answer: C. Kuacha shule na kuamua kufuata njia ya mkato ya wizi.
- Question 2: Ni maneno yapi katika kifungu yanayoashiria kuwa genge la Masha halikuwa na uoga wa kukamatwa?Answer: B. "...walikuwa na mioyo ya chuma."
- Question 3: Mtego uliowekwa na polisi katika hoteli ya kifahari unafananishwa na nini katika kifungu?Answer: A. Mtego wa panya.
- Question 4: Masha alipatikana na mkono wa sheria akiwa katika harakati gani hasa?Answer: C. Akijaribu kuiba tepurekoda kwa kuvunja kioo cha gari.
- Question 5: Ni methali gani inayoweza kutumika kuelezea kitendo cha wenzake Masha kutoroka na kumuacha peke yake?Answer: D. Mwamba ngoma huvutia kwake.
- Question 6: Neno 'korokoroni' kama lilivyotumika katika kifungu lina maana gani?Answer: B. Mahali pa kufungwa au selo ya polisi.
- Question 7: Kichwa mwafaka zaidi kwa kifungu hiki ni kipi?Answer: C. Uhalifu Haulipi: Mwisho wa Masha.
- Question 8: Ni sababu gani kuu mbili zinazotajwa katika kifungu zinazochochea vijana kutumia mihadarati?Answer: B. Ukata na uhaba wa nafasi za ajira.
- Question 9: Mwandishi anamaanisha nini anaposema kuwa vijana ni "uti wa mgongo wa taifa"?Answer: B. Vijana ndio sehemu muhimu inayotegemewa kwa maendeleo ya nchi.
- Question 10: Kama wewe ni kiongozi wa vijana katika mtaa wako, ni hatua gani kati ya hizi utachukua ili kutekeleza pendekezo la mwandishi?Answer: B. Kuandaa mashindano ya michezo na warsha za mafunzo ya kazi.
- Question 11: Tofautisha kati ya sifa za "vijana" na sifa za "mabwenyenye" kama zilivyosawiriwa katika kifungu hiki.Answer: A. Vijana ni rasilimali inayopotea, ilhali mabwenyenye ni wahalifu waliojificha.
- Question 12: Ni kichwa kipi kingine kinachoweza kufaa hadithi hii kikizingatia suluhisho la kudumu la janga hili?Answer: C. Wajibu wa Jamii kwa Vijana.
- Question 13: "Kinga ni bora kuliko tiba." Thibitisha ukweli wa kauli hii kulingana na msimamo wa mwandishi kuhusu kuokoa vijana.Answer: B. Ni bora kuwapa vijana mafunzo na ajira mapema kuliko kusubiri wapotee na kuanza kuwarekebisha.
- Question 14: Ni ipi hoja imara zaidi ambayo kiongozi angeitumia kuwashawishi wanaopinga mabadiliko?Answer: B. Kuonyesha madhara ya kiafya na kimazingira.
- Question 15: Ni mbinu ipi ina uwezekano mkubwa wa kuleta mabadiliko katika jamii hii?Answer: B. Elimu, ushirikishwaji wa jamii.
- Question 16: Ikiwa ungekuwa mshauri wa kijiji, ungependekeza nini ili kuunganisha desturi za jamii na mabadiliko mapya?Answer: C. Kuchanganya maarifa ya jadi na elimu ya kisasa
- Question 17: Ni hitimisho lipi linaonyesha ufahamu wa kina kuhusu hali hii?Answer: C. Mabadiliko ya kijamii yanahitaji mazungumzo na ushirikiano
- Question 18: Kwa nini Baraka na Neema walikuwa kando ya mto Tana?Answer: B. Walikuwa wakipumzika baada ya shughuli za kilimo shuleni.
- Question 19: Kulingana na ufahamu, mazungumzo haya yalifanyika wakati gani?Answer: C. Wakati wa mchana .
- Question 20: Nguvu na upana wa mto unayozungumziwa unatokana na nini?Answer: C. Muungano wa vijito vidogo vinavyojumuika pamoja.
- Question 21: Ni methali gani kati ya hizi inayosisitiza funzo la umoja lililotolewa na Neema?Answer: C. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
- Question 22: Ni swala gani kati ya haya limelinganishwa na mto katika kipengele cha ukuaji wa akili?Answer: B. Elimu na kutafuta maarifa.
- Question 23: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 23.Answer: C. shahiri
- Question 24: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 24.Answer: A. jamii
- Question 25: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 25.Answer: B. ovyo
- Question 26: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 26.Answer: D. mwao
- Question 27: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.Answer: B. nadra
- Question 28: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 28.Answer: A. tungeacha
- Question 29: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.Answer: C. kuwa
- Question 30: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.Answer: D. katika
- Question 31: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 31.Answer: C. kwa
- Question 32: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 32.Answer: D. mtunzi
- Question 33: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.Answer: B. akitwezwa
- Question 34: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.Answer: D. tamaa
- Question 35: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Answer: A. kupigiwa
- Question 36: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni nini ukubwa wa mkate uliliwa na mwana.Answer: B. Jikate lililiwa na jana.
- Question 37: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Chagua sentensi sahihi.Answer: C. Mtoto aliyefaulu ametuzwa zawadi.
- Question 38: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Tumia –a unganifu kwa usahihi Pua ___ mtoto inauma.Answer: C. ya
- Question 39: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Chagua kiwakilishi cha kusisitiza kinachofaa katika sentensi hii: "Mwanafunzi…Answer: B. yuyu huyu
- Question 40: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Kanusha sentensi ifuatayo: "Sisi tutasafiri kuelekea Nairobi kesho."Answer: A. Sisi hatutasafiri kuelekea Nairobi kesho.
- Question 41: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni kiunganishi kipi kinaonyesha kinyume katika sentensi hii? "Alisoma kwa…Answer: C. lakini
- Question 42: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Kamilisha kwa usahihi: "Miguu ___ mchezaji imejeruhiwa."Answer: A. ya
- Question 43: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Katika sentensi: "Kitabu kiko ndani ya mkoba," maneno yaliyokolezwa ni aina…Answer: B. Kihusishi
- Question 44: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Nomino 'barua' iko katika ngeli gani?Answer: C. I-ZI
- Question 45: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Wingi wa sentensi "Ukuta huu ni mrefu" ni:Answer: A. Kuta hizi ni ndefu.
- Question 46: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Katika sentensi: "Mvua ilinyesha sana," neno 'sana' ni kielezi cha namna gani?Answer: C. Kielezi cha kiasi
- Question 47: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni sentensi ipi iliyotumia alama ya koma kwa usahihi?Answer: A. Mama alinunua sukari, chumvi, unga na mafuta.
- Question 48: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa. "Uuwi! Nafa," Mkala alipiga nyende.Answer: D. Mkala alilia kwa uchungu akisema kuwa anakufa
- Question 49: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni nini wingi wa sentensi ifuatayo? Ua mzuri umezingira nyumba yetuAnswer: D. Nyua nzuri zimezingira nyumba zetu
- Question 50: Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ainisha kivumishi na kielezi katika sentensi ifuatayo Ngao hii ni kavu sana.Answer: A. hii, sana