naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 37

Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Chagua sentensi sahihi.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sentensi Sahihi

37. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Chagua sentensi sahihi.

  1. AMtoto ambaye aliyefaulu amezawadiwa.
  2. BMtoto ambao alifaulu amezawadiwa.
  3. CMtoto aliyefaulu ametuzwa zawadi.
  4. DMtoto ambaye aliyefaulu amepewa zawadi.

Answer

C. Mtoto aliyefaulu ametuzwa zawadi.

"Ambaye" na "-ye-" hazitumiki pamoja; "ambao" ni wa wingi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test