naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 36

Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni nini ukubwa wa mkate uliliwa na mwana.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa wa Nomino

36. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Ni nini ukubwa wa mkate uliliwa na mwana.

  1. AMkate lililiwa na jana
  2. BJikate lililiwa na jana.
  3. CKate lililiwa na jana.
  4. DLikate jililiwa na wana

Answer

B. Jikate lililiwa na jana.

Mkate → jikate; mwana → jana; kitenzi kinachukua li- (lililiwa).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test