naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 38

Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Tumia –a unganifu kwa usahihi Pua ___ mtoto inauma.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kiunganishi -a

38. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Tumia –a unganifu kwa usahihi
Pua ______ mtoto inauma.

  1. Ala
  2. Bwa
  3. Cya
  4. Dza

Answer

C. ya

Pua iko ngeli ya I-ZI (inauma): pua ya mtoto.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test