naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 33

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Soma kifungu kifuatacho kilicho na nafasi 29 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo.
Kamanu alitokea __29__ msomi stadi __30__ jiji la Salama. Alianza __31__ kusoma vitabu vya hadithi mpaka akawa __32__ hodari wa sentensi. Ingawa alikuwa __33__ na wenzake aliamua kutokata __34__. Baada ya muda Kamanu akawa wa __35__ mfano shuleni.

33. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.

  1. Aakisifiwa
  2. Bakitwezwa
  3. Cakifurahishwa
  4. Dakipendwa

Answer

B. akitwezwa

"Ingawa … aliamua kutokata tamaa": alikuwa akidharauliwa (akitwezwa).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test