naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 25.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Soma kifungu kifuatacho kilicho na nafasi 23 hadi 28. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo.
Imedhihirika dhahiri __23__ kuwa __24__ nyingi huchukua watu wenye maradhi ya Ukimwi kama watu __25__ ovyo, waliorogwa na wasiofaa kuishi miongoni __26__. Hii ni wazi kwani familia za watu hawa ni __27__ sana kuonewa fahari. Ingekuwa bora kama sote __28__ hali ya kuwanyanyapaa.

25. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 25.

  1. Abora
  2. Bovyo
  3. Covyo vyo
  4. Dmaarufu

Answer

B. ovyo

"Watu ovyo": watu wasiofaa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test