CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 30
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Soma kifungu kifuatacho kilicho na nafasi 29 hadi 35. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo.
Kamanu alitokea __29__ msomi stadi __30__ jiji la Salama. Alianza __31__ kusoma vitabu vya hadithi mpaka akawa __32__ hodari wa sentensi. Ingawa alikuwa __33__ na wenzake aliamua kutokata __34__. Baada ya muda Kamanu akawa wa __35__ mfano shuleni.
30. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.
- Akwenye
- Bkwa
- Cna
- Dkatika
Answer
D. katika
Katika jiji la Salama.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 31.Question 31
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 32.Question 32
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.Question 33
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.Question 34
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Question 35
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni nini ukubwa wa mkate uliliwa na mwana.Question 36