naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 24.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Soma kifungu kifuatacho kilicho na nafasi 23 hadi 28. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo.
Imedhihirika dhahiri __23__ kuwa __24__ nyingi huchukua watu wenye maradhi ya Ukimwi kama watu __25__ ovyo, waliorogwa na wasiofaa kuishi miongoni __26__. Hii ni wazi kwani familia za watu hawa ni __27__ sana kuonewa fahari. Ingekuwa bora kama sote __28__ hali ya kuwanyanyapaa.

24. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 24.

  1. Ajamii
  2. Bwatu
  3. Cnchi
  4. Djamaa

Answer

A. jamii

"Jamii nyingi" (watu wangetaka "wengi").

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test