CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Soma kifungu kifuatacho kilicho na nafasi 23 hadi 28. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo.
Imedhihirika dhahiri __23__ kuwa __24__ nyingi huchukua watu wenye maradhi ya Ukimwi kama watu __25__ ovyo, waliorogwa na wasiofaa kuishi miongoni __26__. Hii ni wazi kwani familia za watu hawa ni __27__ sana kuonewa fahari. Ingekuwa bora kama sote __28__ hali ya kuwanyanyapaa.
27. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.
- Ayakini
- Bnadra
- Cmathalani
- Daghalabu
Answer
B. nadra
Nadra sana kuonewa fahari: mara chache sana.