naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 45

Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Wingi wa sentensi "Ukuta huu ni mrefu" ni:

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi

45. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Wingi wa sentensi "Ukuta huu ni mrefu" ni:

  1. AKuta hizi ni ndefu.
  2. BMakuta haya ni marefu.
  3. CNyuta hizi ni ndefu.
  4. DUkuta hizi ni ndefu.

Answer

A. Kuta hizi ni ndefu.

Ukuta → kuta (U-ZI).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test