CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 47
Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni sentensi ipi iliyotumia alama ya koma kwa usahihi?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji
47. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Ni sentensi ipi iliyotumia alama ya koma kwa usahihi?
- AMama alinunua sukari, chumvi, unga na mafuta.
- BMama alinunua, sukari chumvi unga na mafuta.
- CMama, alinunua sukari chumvi unga na mafuta.
- DMama alinunua sukari chumvi, unga na, mafuta.
Answer
A. Mama alinunua sukari, chumvi, unga na mafuta.
Koma hutenganisha vitu katika orodha.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa. "Uuwi! Nafa,"…Question 48
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni nini wingi wa sentensi ifuatayo? Ua mzuri umezingira…Question 49
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ainisha kivumishi na kielezi katika sentensi ifuatayo Ngao…Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni nini kilichomfanya Masha kuanza maisha ya uhalifu?Question 1
- Ni maneno yapi katika kifungu yanayoashiria kuwa genge la Masha halikuwa na uoga wa kukamatwa?Question 2
- Mtego uliowekwa na polisi katika hoteli ya kifahari unafananishwa na nini katika kifungu?Question 3