CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 46
Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Katika sentensi: "Mvua ilinyesha sana," neno 'sana' ni kielezi cha namna gani?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vielezi
46. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Katika sentensi:
"Mvua ilinyesha sana," neno 'sana' ni kielezi cha namna gani?
- AKielezi cha wakati
- BKielezi cha mahali
- CKielezi cha kiasi
- DKielezi cha namna
Answer
C. Kielezi cha kiasi
"Sana" hueleza kiasi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni sentensi ipi iliyotumia alama ya koma kwa usahihi?Question 47
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa. "Uuwi! Nafa,"…Question 48
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni nini wingi wa sentensi ifuatayo? Ua mzuri umezingira…Question 49
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ainisha kivumishi na kielezi katika sentensi ifuatayo Ngao…Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni nini kilichomfanya Masha kuanza maisha ya uhalifu?Question 1
- Ni maneno yapi katika kifungu yanayoashiria kuwa genge la Masha halikuwa na uoga wa kukamatwa?Question 2