naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48

Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa. "Uuwi! Nafa," Mkala alipiga nyende.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi wa Taarifa

48. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa.
"Uuwi! Nafa," Mkala alipiga nyende.

  1. AMkala alisema kuwa alikuwa anakufa
  2. BMkala alipiga unyende ati yuafa
  3. CMkala alipiga unyende ati alikuwa akifa
  4. DMkala alilia kwa uchungu akisema kuwa anakufa

Answer

D. Mkala alilia kwa uchungu akisema kuwa anakufa

Kilio (Uuwi!) kinaelezwa kwa maneno, na "nafa" kinabadilika kuwa "anakufa" au "alikuwa akifa".

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test