CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 49
Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ni nini wingi wa sentensi ifuatayo? Ua mzuri umezingira nyumba yetu
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
49. Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo.
Ni nini wingi wa sentensi ifuatayo?
Ua mzuri umezingira nyumba yetu
- AMaua mazuri yamezingira nyumba zetu
- BNyua mzuri zimezingira nyumba zetu
- CMaua mazuri yamezingira majumba yetu
- DNyua nzuri zimezingira nyumba zetu
Answer
D. Nyua nzuri zimezingira nyumba zetu
Hapa ua ni uzio (U-ZI): ua → nyua, mzuri → nzuri, umezingira → zimezingira.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Katika swali la 36 hadi 50 Jibu swali kulingana na maelezo. Ainisha kivumishi na kielezi katika sentensi ifuatayo Ngao…Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni nini kilichomfanya Masha kuanza maisha ya uhalifu?Question 1
- Ni maneno yapi katika kifungu yanayoashiria kuwa genge la Masha halikuwa na uoga wa kukamatwa?Question 2
- Mtego uliowekwa na polisi katika hoteli ya kifahari unafananishwa na nini katika kifungu?Question 3
- Masha alipatikana na mkono wa sheria akiwa katika harakati gani hasa?Question 4
- Ni methali gani inayoweza kutumika kuelezea kitendo cha wenzake Masha kutoroka na kumuacha peke yake?Question 5