naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 15

Ni mbinu ipi ina uwezekano mkubwa wa kuleta mabadiliko katika jamii hii?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kisa kifuatacho kisha ujibu maswali ya 14 hadi 17.
Katika kijiji cha Kijani, kulikuwa na matatizo mawili makuu. Tatizo la kwanza lilikuwa ni taka kutupwa ovyo na la pili lilikuwa baadhi ya wakazi kutumia dawa bila ushauri wa wataalamu. Kiongozi wa kijiji alianzisha mpango wa kuwahamasisha watu kubadili tabia hizi. Alipanga mikutano ya kijiji, akahusisha vijana kusambaza ujumbe kupitia mitandao ya kijamii, na akawaalika wataalamu wa afya kutoa elimu. Hata hivyo, baadhi ya wakazi walipinga mabadiliko wakisema desturi zao hazipaswi kubadilishwa.

15. Ni mbinu ipi ina uwezekano mkubwa wa kuleta mabadiliko katika jamii hii?

  1. AAdhabu kali pekee
  2. BElimu, ushirikishwaji wa jamii.
  3. CKutegemea vijana pekee
  4. DKusubiri watu wajibadilishe wenyewe

Answer

B. Elimu, ushirikishwaji wa jamii.

Kiongozi alitumia mikutano, vijana na wataalamu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test