CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 2)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · Revision 2026 (Booklet 2) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 50 questions with answers
- Question 1: Msukumo ambao unaweza kuwazidi watoto huletwa na nini hasa kulingana na ufahamu?Answer: C. Mambo yanayohusu maisha ya kijamii na shule.
- Question 2: Shirika la utafiti lililotajwa katika taarifa ni la nchi gani?Answer: C. Marekani
- Question 3: Watoto hutamani kuwafikia nani wanapozidiwa na hisia?Answer: A. Wavyele
- Question 4: Kushutumu ni kufanya nini?Answer: B. Kumtolea mtoto lawama.
- Question 5: Kwa nini ni vibaya kutoa hukumu kwa mtoto?Answer: D. Mtoto anaweza kuchelea kueleza hisia zake
- Question 6: Mtoto anapomueleza mzazi shida zake mzazi anatakiwa kufanya haya yote isipokuwaAnswer: A. kumkemea mtoto.
- Question 7: Eleza maana ya usaili kama lilivyotumika katika taarifaAnswer: B. kufanya mahojiano kwa kuuliza maswali.
- Question 8: Katika aya ya kwanza mwandishi anakubaliana kuwaAnswer: A. yanayosemwa ni ukweli wala si uvumi.
- Question 9: Dhamira hasa ya walioanzisha uundaji na uuzaji wa sehemu mbalimbali za mwili ilikuwaAnswer: A. kujasirisha waliokuwa na ila kimaumbile.
- Question 10: Sehemu zifuatazo zinanunuliwa kulingana na ufahamu isipokuwaAnswer: B. akili
- Question 11: Methali ifuatayo imetumiwa katika ufahamu isipokuwaAnswer: D. msichana mrembo hakosi kasoro.
- Question 12: Aghalabu msusi,Answer: C. husuka au kubandikia watu nywele.
- Question 13: Wanaobadilisha au kugeuza rangi za miliAnswer: A. hutumia vidonge pasipo kujali hatari zake.
- Question 14: Kwa jumla mwandishi anadhihirisha tabia gani ya kina dada?Answer: D. Kutoridhika
- Question 15: Ni nini maana ya kupiga marufuku kama ilivyotumika katika kifunguAnswer: B. kukataa
- Question 16: Kulingana na aya ya kwanza ni kweli kusema kuwaAnswer: C. utumizi wa makaa bado unaendelea.
- Question 17: Kulingana na kifungu hiki, miti hukatwa kwa sababu hizi zote isipokuwaAnswer: D. kusafisha mazingira
- Question 18: Wakulima huingilia misitu iliAnswer: C. kujitengenezea nafasi ya kufanya ukulima
- Question 19: Kulingana na aya ya mwisho, ni jambo gani litafanya misitu ipate nafuu?Answer: B. Wananchi wameanza kukumbatia matumizi ya kawi ya jua.
- Question 20: Kulingana na kifungu, moyo una jukumu gani?Answer: C. kupampu damu na oksijeni
- Question 21: Ni nini hufanyika tumboni na utumboni?Answer: D. Chakula husagwa na kunyonya virutubisho
- Question 22: Ni yapi matatu muhimu yaliyotajwa kwa ajili ya kutunza afaya?Answer: C. Kula lishe bora, kupata usingizi wa kutosha na kufanya mazoezi.
- Question 23: Kulingana na kifungu, mwili wa binadamu ni mfumo wa aina gani?Answer: C. Mfumo tata
- Question 24: Mazoezi yana umuhimu gani hasa kwa mwili?Answer: D. Kuweka moyo na mapafu imara.
- Question 25: Kifungu kinatoa ujumbe gani wa mwisho?Answer: B. Tunapopuuza afya, tunaweza kuugua.
- Question 26: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 26.Answer: D. usiku
- Question 27: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.Answer: A. kupotea
- Question 28: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 28.Answer: B. usiahi
- Question 29: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 29.Answer: C. uliotokea
- Question 30: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.Answer: A. yetu
- Question 31: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 31.Answer: B. Niliinuka
- Question 32: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 32.Answer: B. kujivika
- Question 33: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 33.Answer: A. subira
- Question 34: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 34.Answer: D. Nilijichopekea
- Question 35: Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 35.Answer: A. nilipokutana
- Question 36: Neno mkulima limetokana na kitenzi gani?Answer: C. Lima
- Question 37: Chagua sentensi sahihi kisarufiAnswer: A. madawa ya kulevya yamenunuliwa.
- Question 38: Chagua sentensi iliyo katika wakati timilifu.Answer: D. Mwalimu amefunza vizuri.
- Question 39: Nomino wema ni ya aina gani?Answer: D. Dhahania
- Question 40: Semi kupiga moyo konde ina maana gani?Answer: C. Kuwa jasiri na kukabiliana na jambo ngumu
- Question 41: Ngeli ya neno nywele ni ipi?Answer: A. U-ZI
- Question 42: Kamilisha methali: Umdhaniaye ndiye ___Answer: B. kumbe siye
- Question 43: Kamilisha sentensi ifuatayo: Sisi ___ tulileta vitabu hivyo.Answer: C. ndisi
- Question 44: Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha idadiAnswer: B. Watu wengi walifika mapema.
- Question 45: Kanusha: Ng'ombe aliyenunuliwa jana amechinjwa.Answer: C. Ng'ombe aliyenunuliwa jana hajachinjwa.
- Question 46: Andika katika hali ya wingi: Dada amenunua gari.Answer: A. Madada wamenunua magari.
- Question 47: Kufanya jambo haraka bila tahadhari huishia kwa makosa. Ni methali gani inayofaa?Answer: D. Haraka haraka haina baraka.
- Question 48: Nomino zote zifuatazo ziko katika ngeli ya li-li isipokuwaAnswer: A. gari
- Question 49: Tumia kiunganishi sahihi kujaza pengo. Alikuwa na muda ___ hakuenda mkutano.Answer: D. lakini
- Question 50: Taja jina la umbo lifuataloAnswer: B. pembe tatu pacha