CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 21
Ni nini hufanyika tumboni na utumboni?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yatakayofuata.
Mwili wa binadamu ni mfumo tata unaofanya kazi kwa ushirikiano. Kila kiungo kina jukumu lake muhimu. Moyo hupiga damu na oksijeni kwenda sehemu zote za mwili. Mapafu husaidia kuvuta hewa na kutoa hewa chafu. Tumbo na utumbo husaga chakula na kunyonya virutubisho. Viungo vyote hufanya kazi pamoja ili kuhakisha uaendelea kuwa na afya.
Ni muhimu kutunza mwili wetu. Hii inahusisha kula lishe bora, kufanya mazoezi ya kutosha, na kupata usingizi wa kutosha. Vyakula vyenye vitamini na madini huimarisha mfumo wa kinga, na mazoezi kuuweka moyo na mapafu imara. Tunapopuuza afya yetu, tunaweza kuugua magonjwa mbalimbali
21. Ni nini hufanyika tumboni na utumboni?
- AVirutubisho hupatikana
- BHewa chafu hutolewa
- CDamu hupatikana
- DChakula husagwa na kunyonya virutubisho
Answer
D. Chakula husagwa na kunyonya virutubisho
"Tumbo na utumbo husaga chakula na kunyonya virutubisho."
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ni yapi matatu muhimu yaliyotajwa kwa ajili ya kutunza afaya?Question 22
- Kulingana na kifungu, mwili wa binadamu ni mfumo wa aina gani?Question 23
- Mazoezi yana umuhimu gani hasa kwa mwili?Question 24
- Kifungu kinatoa ujumbe gani wa mwisho?Question 25
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 26.Question 26
- Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.Question 27