CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Giza la __26__ lilikuwa limeanza __27__ niliposikia __28__ mkali __29__ upande wa chini wa nyumba __30__. __31__ kitandani mbiombio, nikachukua nguo zangu na __32__ haraka. Sikuwa hata na __33__ ya kuangalia kama nilizivaa vizuri. __34__ viatu na kukimbilia __35__ mlangoni na kaka yangu. Sote tulitoka nje mbio.
27. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 27.
- Akupotea
- Bkuotea
- Ckuonekana
- Dkuamka
Answer
A. kupotea
Giza la usiku lilikuwa limeanza kupotea: kunapambazuka.