naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 30

Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi

Kifungu kifuatacho kina nafasi ya 26 hadi 35. Umepewa majibu manne. Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi.
Giza la __26__ lilikuwa limeanza __27__ niliposikia __28__ mkali __29__ upande wa chini wa nyumba __30__. __31__ kitandani mbiombio, nikachukua nguo zangu na __32__ haraka. Sikuwa hata na __33__ ya kuangalia kama nilizivaa vizuri. __34__ viatu na kukimbilia __35__ mlangoni na kaka yangu. Sote tulitoka nje mbio.

30. Chagua jibu sahihi kujaza nafasi 30.

  1. Ayetu
  2. Bkwetu
  3. Cpetu
  4. Dmwetu

Answer

A. yetu

Nyumba (ngeli ya I-ZI) yetu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test