naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23

Kulingana na kifungu, mwili wa binadamu ni mfumo wa aina gani?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yatakayofuata.
Mwili wa binadamu ni mfumo tata unaofanya kazi kwa ushirikiano. Kila kiungo kina jukumu lake muhimu. Moyo hupiga damu na oksijeni kwenda sehemu zote za mwili. Mapafu husaidia kuvuta hewa na kutoa hewa chafu. Tumbo na utumbo husaga chakula na kunyonya virutubisho. Viungo vyote hufanya kazi pamoja ili kuhakisha uaendelea kuwa na afya.

Ni muhimu kutunza mwili wetu. Hii inahusisha kula lishe bora, kufanya mazoezi ya kutosha, na kupata usingizi wa kutosha. Vyakula vyenye vitamini na madini huimarisha mfumo wa kinga, na mazoezi kuuweka moyo na mapafu imara. Tunapopuuza afya yetu, tunaweza kuugua magonjwa mbalimbali

23. Kulingana na kifungu, mwili wa binadamu ni mfumo wa aina gani?

  1. AMifumo rahisi
  2. BMfumo wa kimataifa
  3. CMfumo tata
  4. DMfumo wa utawala

Answer

C. Mfumo tata

"Mwili wa binadamu ni mfumo tata."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test