CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Kifungu kinatoa ujumbe gani wa mwisho?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali yatakayofuata.
Mwili wa binadamu ni mfumo tata unaofanya kazi kwa ushirikiano. Kila kiungo kina jukumu lake muhimu. Moyo hupiga damu na oksijeni kwenda sehemu zote za mwili. Mapafu husaidia kuvuta hewa na kutoa hewa chafu. Tumbo na utumbo husaga chakula na kunyonya virutubisho. Viungo vyote hufanya kazi pamoja ili kuhakisha uaendelea kuwa na afya.
Ni muhimu kutunza mwili wetu. Hii inahusisha kula lishe bora, kufanya mazoezi ya kutosha, na kupata usingizi wa kutosha. Vyakula vyenye vitamini na madini huimarisha mfumo wa kinga, na mazoezi kuuweka moyo na mapafu imara. Tunapopuuza afya yetu, tunaweza kuugua magonjwa mbalimbali
25. Kifungu kinatoa ujumbe gani wa mwisho?
- ANi ngumu kutunza mwili.
- BTunapopuuza afya, tunaweza kuugua.
- CViungo vya mwili si muhimu sana.
- DKufanya mazoezi ni jukumu la daktari.
Answer
B. Tunapopuuza afya, tunaweza kuugua.
"Tunapopuuza afya yetu, tunaweza kuugua magonjwa mbalimbali."