CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 44
Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha idadi
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vivumishi
44. Chagua sentensi iliyo na kivumishi cha idadi
- AMwalimu yule ni mzembe.
- BWatu wengi walifika mapema.
- CWachache walifika asubuhi.
- DMitungi yetu iliooshwa.
Answer
B. Watu wengi walifika mapema.
Wengi kinaeleza idadi ya watu: ni kivumishi cha idadi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kanusha: Ng'ombe aliyenunuliwa jana amechinjwa.Question 45
- Andika katika hali ya wingi: Dada amenunua gari.Question 46
- Kufanya jambo haraka bila tahadhari huishia kwa makosa. Ni methali gani inayofaa?Question 47
- Nomino zote zifuatazo ziko katika ngeli ya li-li isipokuwaQuestion 48
- Tumia kiunganishi sahihi kujaza pengo. Alikuwa na muda ___ hakuenda mkutano.Question 49
- Taja jina la umbo lifuataloQuestion 50