CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48
Nomino zote zifuatazo ziko katika ngeli ya li-li isipokuwa
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
48. Nomino zote zifuatazo ziko katika ngeli ya li-li isipokuwa
- Agari
- Bjasho
- Cjoto
- Dgiza
Answer
A. gari
Jasho, joto na giza hazina wingi (LI-LI); gari lina wingi magari (LI-YA).
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tumia kiunganishi sahihi kujaza pengo. Alikuwa na muda ___ hakuenda mkutano.Question 49
- Taja jina la umbo lifuataloQuestion 50
- Msukumo ambao unaweza kuwazidi watoto huletwa na nini hasa kulingana na ufahamu?Question 1
- Shirika la utafiti lililotajwa katika taarifa ni la nchi gani?Question 2
- Watoto hutamani kuwafikia nani wanapozidiwa na hisia?Question 3
- Kushutumu ni kufanya nini?Question 4