CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 37
Chagua sentensi sahihi kisarufi
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi
37. Chagua sentensi sahihi kisarufi
- Amadawa ya kulevya yamenunuliwa.
- Bgari zimeoshwa zote.
- Cwacha kunifanyia michezo.
- Dcherehani kipya kimenunuliwa.
Answer
A. madawa ya kulevya yamenunuliwa.
Madawa (YA-YA) yamenunuliwa ni sahihi; cherehani ni ya ngeli ya I-ZI: cherehani mpya imenunuliwa.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika wakati timilifu.Question 38
- Nomino wema ni ya aina gani?Question 39
- Semi kupiga moyo konde ina maana gani?Question 40
- Ngeli ya neno nywele ni ipi?Question 41
- Kamilisha methali: Umdhaniaye ndiye ___Question 42
- Kamilisha sentensi ifuatayo: Sisi ___ tulileta vitabu hivyo.Question 43