CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 4)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · Revision 2026 (Booklet 4) · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati.
All 50 questions with answers
- Question 1: Kulingana na kifungu hiki, utamaduni ni nini?Answer: D. Desturi, jadi, mila na asili za jamii fulani.
- Question 2: Neno karne limetumika katika kifungu hiki, je karne ni nini?Answer: D. Kipindi cha miaka mia moja.
- Question 3: Neno asteaste kama ilivyotumika katika ufahamu huu ni kisawe chaAnswer: B. polepole
- Question 4: Ni nini kilisababisha mabadiliko ya utamaduni wa mwafrika?Answer: C. Kuingia kwa mkoloni nchini.
- Question 5: Wote hawa wemetajwa kama waliohusika katika kuwafunza chipukizi maadili isipokuwaAnswer: C. mababu
- Question 6: Ni nini kimewafanya vijana kuiga desturi za wazungu?Answer: A. Kukosa mwongozo kutoka kwa jamii husika.
- Question 7: Mwandishi anaomba tufanye nini katika aya ya mwisho?Answer: C. Tudumishe tamaduni za mwafrika.
- Question 8: Kifungu kimebainisha kuwa kobeAnswer: C. alijivunia urembo wake.
- Question 9: Kunguru alimpa kobe nini?Answer: B. Manyoya ya ndege wengine.
- Question 10: Tabia gani ya kobe ilisababisha aonekane mbaya baadaye?Answer: C. Kiburi na dharau
- Question 11: Nini kilitokea baada ya kobe kufukuzwa?Answer: C. alianguka na kujeruhiwa
- Question 12: Gamba la kobe linawakilisha nini katika hadithi hii?Answer: B. Madharau ya kiburi.
- Question 13: Je, ni funzo lipi unalolipata kutokana na kifungu hiki?Answer: C. Kiburi huleta aibu na majuto.
- Question 14: Ukosefu wa usalama ni hali gani?Answer: C. Kuishi kwa hofu ya kudhuriwa au kupoteza mali.
- Question 15: Ni lipi kati ya yafuatayo ni chanzo cha ukosefu wa usalama?Answer: B. Uhalifu
- Question 16: Watu katika jamii yenye ukosefu wa usalama huishi vipi?Answer: B. Kwa wasiwasi na hofu.
- Question 17: Ukosefu wa usalama unaathiri vipi biashara?Answer: A. Huzuia watu kufanya biashara kwa ufanisi.
- Question 18: Neno ajira limetumika katika kifungu hiki, ni sawa kimaana na?Answer: A. Kazi
- Question 19: Ukosefu wa usalama huathiri vipi elimu ya watoto?Answer: C. Huwazuia kuenda shule.
- Question 20: Wawekezaji hufanya nini katika maeneo yasiyo salama?Answer: C. Hukwepa kuwekeza.
- Question 21: Je, mazungumzo haya yanafanyika wakati gani?Answer: C. Asubuhi
- Question 22: Ni kweli kusema kuwa makake ZawadiAnswer: B. alikuwa anaugua homa.
- Question 23: Neno Mola limetumika katika kifungu hiki, ni lipi si kisawe chake?Answer: C. Wavyele
- Question 24: Ni nani aliyemtuma Zawadi madukani?Answer: D. Abu yake
- Question 25: Babu alimwomba Zawadi afanye nini arudipo kwao?Answer: C. awasalimu wote kwa niamba yake.
- Question 26: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 26.Answer: C. wengi
- Question 27: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 27.Answer: B. ya
- Question 28: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 28.Answer: D. kusambaza
- Question 29: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 29.Answer: A. imekuwa
- Question 30: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 30.Answer: A. kati
- Question 31: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 31.Answer: B. kuna
- Question 32: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 32.Answer: A. nyingi
- Question 33: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 33.Answer: C. kupoteza
- Question 34: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 34.Answer: D. wa
- Question 35: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi 35.Answer: A. tahadhari
- Question 36: Kuanzia swali la 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo. 36. Neno mwanafunzi liko katika ngeli gani?Answer: D. A-WA
- Question 37: Weka kivumishi sahihi. Mama alinunua sukari___Answer: C. nyeupe
- Question 38: Ni neno lipi katika ya haya halipatikani katika ngeli ya LI-LIAnswer: B. dawati
- Question 39: Ni neno lipi limeambatanishwa sahihi na wingi wake?Answer: D. Cherehani - Vyerehani
- Question 40: Kinyume cha upendo niAnswer: B. uadui
- Question 41: Kitenzi ‘hupika’ kiko katika wakati gani?Answer: A. Mazoea
- Question 42: Neno ‘anaimba’ lina kiambishi awali gani?Answer: A. - a
- Question 43: Methali ‘Penye nia pana njia’ inamaainishaAnswer: D. wanaofanikiwa ni wale wana nia.
- Question 44: Nahau ‘kula chumvi nyingi’ inamaanisha?Answer: B. Mtu mwenye uzoefu.
- Question 45: Sentensi ipi ni sahihi?Answer: C. Mimi ndiye mkubwa wake.
- Question 46: Neno wema niAnswer: B. nomino
- Question 47: Tumia kitenzi sahihi Watoto ___ mpira uwanjani jana.Answer: D. walicheza
- Question 48: Andika jibu la maamkuzi “makiwa”Answer: D. tunayo
- Question 49: 49.Wingi: Ua huo una ua zuri.Answer: A. Nyua hizo zina maua mazuri.
- Question 50: Chagua nomino ya jamii katiak orodha ifuatayo.Answer: D. Safu