CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 49
49.Wingi: Ua huo una ua zuri.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
49.Wingi: Ua huo una ua zuri.
- ANyua hizo zina maua mazuri.
- BMaua hayo yana nyua nzuri.
- CNyua hizo zina nyua nzuri.
- DMaua hayo yana maua mazuri.
Answer
A. Nyua hizo zina maua mazuri.
Ua (wa nyumba) – nyua; ua (la mmea) – maua.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino ya jamii katiak orodha ifuatayo.Question 50
- Kulingana na kifungu hiki, utamaduni ni nini?Question 1
- Neno karne limetumika katika kifungu hiki, je karne ni nini?Question 2
- Neno asteaste kama ilivyotumika katika ufahamu huu ni kisawe chaQuestion 3
- Ni nini kilisababisha mabadiliko ya utamaduni wa mwafrika?Question 4
- Wote hawa wemetajwa kama waliohusika katika kuwafunza chipukizi maadili isipokuwaQuestion 5