CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 50
Chagua nomino ya jamii katiak orodha ifuatayo.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
50. Chagua nomino ya jamii katiak orodha ifuatayo.
- AMusa
- BMate
- CSufuria
- DSafu
Answer
D. Safu
Safu ni kundi la vitu vilivyopangwa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na kifungu hiki, utamaduni ni nini?Question 1
- Neno karne limetumika katika kifungu hiki, je karne ni nini?Question 2
- Neno asteaste kama ilivyotumika katika ufahamu huu ni kisawe chaQuestion 3
- Ni nini kilisababisha mabadiliko ya utamaduni wa mwafrika?Question 4
- Wote hawa wemetajwa kama waliohusika katika kuwafunza chipukizi maadili isipokuwaQuestion 5
- Ni nini kimewafanya vijana kuiga desturi za wazungu?Question 6