CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 48
Andika jibu la maamkuzi “makiwa”
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maamkizi
48. Andika jibu la maamkuzi “makiwa”
- Apole
- Bburiani
- Csamahani
- Dtunayo
Answer
D. tunayo
Makiwa (pole za msiba) hujibiwa "Tunayo".
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- 49.Wingi: Ua huo una ua zuri.Question 49
- Chagua nomino ya jamii katiak orodha ifuatayo.Question 50
- Kulingana na kifungu hiki, utamaduni ni nini?Question 1
- Neno karne limetumika katika kifungu hiki, je karne ni nini?Question 2
- Neno asteaste kama ilivyotumika katika ufahamu huu ni kisawe chaQuestion 3
- Ni nini kilisababisha mabadiliko ya utamaduni wa mwafrika?Question 4