naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 36

Kuanzia swali la 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo. 36. Neno mwanafunzi liko katika ngeli gani?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli

Kuanzia swali la 36 hadi 50, jibu kila swali kulingana na maagizo.
36. Neno mwanafunzi liko katika ngeli gani?

  1. AM-WA
  2. BKI-VI
  3. CLI-YA
  4. DA-WA

Answer

D. A-WA

Mwanafunzi – wanafunzi: A-WA (M-WA zamani).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test