CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 38
Ni neno lipi katika ya haya halipatikani katika ngeli ya LI-LI
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
38. Ni neno lipi katika ya haya halipatikani katika ngeli ya LI-LI
- Ajasho
- Bdawati
- Cjua
- Djoto
Answer
B. dawati
Dawati – madawati ni LI-YA.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni neno lipi limeambatanishwa sahihi na wingi wake?Question 39
- Kinyume cha upendo niQuestion 40
- Kitenzi ‘hupika’ kiko katika wakati gani?Question 41
- Neno ‘anaimba’ lina kiambishi awali gani?Question 42
- Methali ‘Penye nia pana njia’ inamaainishaQuestion 43
- Nahau ‘kula chumvi nyingi’ inamaanisha?Question 44