naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22

Ni kweli kusema kuwa makake Zawadi

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 21 hadi 25.
Babu: Hujambo Zawadi
Zawadi: Sijambo babu, shikamoo?
Babu: Marahaba mjukuu wangu.
Zawadi: Umeamkaje babu?
Babu: Nimeamka salama salmini. Ninashukuru Mola. Je watu ni salama huko nyumbani?
Zawadi: Isipokuwa nina ambaye ana homa, wengine wote wako wazima kama kigongo.
Babu: Na apate afueni ya haraka huyo binti yangu. Waelekea wapi asubuhi hii mjukuu.
Zawadi: Baba amenituma kumtafutia nina dawa ya homa huko madukani.
Babu: Sawa, harakisha usije ukachelewa basi.
Zawadi: Asante babu. Kua na siku njema.
Babu: Nawe pia mjukuu wangu. Wape salamu zangu nyumbani

22. Ni kweli kusema kuwa makake Zawadi

  1. Aalikuwa anaugua malaria
  2. Balikuwa anaugua homa.
  3. Calikuwa mzima kama kigongo.
  4. Dalikuwa dada ya babu

Answer

B. alikuwa anaugua homa.

Nina (mama) yake ana homa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test