naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23

Neno Mola limetumika katika kifungu hiki, ni lipi si kisawe chake?

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali 21 hadi 25.
Babu: Hujambo Zawadi
Zawadi: Sijambo babu, shikamoo?
Babu: Marahaba mjukuu wangu.
Zawadi: Umeamkaje babu?
Babu: Nimeamka salama salmini. Ninashukuru Mola. Je watu ni salama huko nyumbani?
Zawadi: Isipokuwa nina ambaye ana homa, wengine wote wako wazima kama kigongo.
Babu: Na apate afueni ya haraka huyo binti yangu. Waelekea wapi asubuhi hii mjukuu.
Zawadi: Baba amenituma kumtafutia nina dawa ya homa huko madukani.
Babu: Sawa, harakisha usije ukachelewa basi.
Zawadi: Asante babu. Kua na siku njema.
Babu: Nawe pia mjukuu wangu. Wape salamu zangu nyumbani

23. Neno Mola limetumika katika kifungu hiki, ni lipi si kisawe chake?

  1. AMungu
  2. BMaulana
  3. CWavyele
  4. DRabana

Answer

C. Wavyele

Wavyele ni wazazi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test