CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 12
Gamba la kobe linawakilisha nini katika hadithi hii?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali 8 hadi 13.
Zamani za kale, wanyama wote walikuwa na ngozi laini kama ya mtoto mchanga. Kobe alikuwa miongoni mwa waliokuwa warembo zaidi. Alipenda kujigamba kuhusu mwonekano wake mbele ya wenzake hasa ndege waliokuwa na manyoya ya kuvutia.
Siku moja, kunguru alialikwa kwenye sherehe mbinguni. Kobe naye akataka kwenda naye lakini hakuwa na mbawa. Alimwomba kunguru amsaidie. Kunguru kwa hila alimpa baadhi ya manyoya ya wanyama wengine. Kobe alijibamba na kupaa mbinguni akiwa na furaha.
Katika sherehe, alikula chakula kingi kuliko wote na hata kuanza kuwakejeli waliomsaidia. Wenyeji walikasirika, wakamwondoa kwa nguvu. Alipotupwa kutoka mbinguni alianguka na kuvunjika vibaya.
Aliokolewa lakini sura yake haikurudi kama hapo awali. Ndipo akaanza kuvaa gomba kumkinga. Tangu siku hiyo, kobe amekuwa na mogamba yanayofunika mwili wake kama kumbikumbi ya kiburi na dharau zake.
12. Gamba la kobe linawakilisha nini katika hadithi hii?
- AUlinzi dhidi ya wanyama wakali.
- BMadharau ya kiburi.
- CAlama ya hekima.
- DMazopo ya kale.
Answer
B. Madharau ya kiburi.
Gamba ni ukumbusho wa kiburi na dharau.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Je, ni funzo lipi unalolipata kutokana na kifungu hiki?Question 13
- Ukosefu wa usalama ni hali gani?Question 14
- Ni lipi kati ya yafuatayo ni chanzo cha ukosefu wa usalama?Question 15
- Watu katika jamii yenye ukosefu wa usalama huishi vipi?Question 16
- Ukosefu wa usalama unaathiri vipi biashara?Question 17
- Neno ajira limetumika katika kifungu hiki, ni sawa kimaana na?Question 18