CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term Assessment 2025 (Set 6)
Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · End Term Assessment 2025 (Set 6) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati.
All 30 questions with answers
- Question 1: Nuru alifanya kitu gani cha kwanza alipofika nyumbani kutoka sokoni?Answer: D. Kwenda kumwona mtoto.
- Question 2: Damu iliyokuwa mdomoni mwa paka ilikuwa yaAnswer: D. nyoka.
- Question 3: Unadhani ni kwa nini Nuru alimkatakata paka?Answer: C. Alidhani paka alikuwa amemwua mtoto.
- Question 4: Paka alikuwa amefunzwaAnswer: A. kumlea mtoto
- Question 5: Lengo la Nuru kwenda sokoni lilikuwaAnswer: B. kununua bidhaa za nyumbani
- Question 6: Mazoea ya Omondi awali yalikuwa niAnswer: C. kupeleka mifugo malishoni
- Question 7: Kwa nini tabia ya Omondi imebadilika?Answer: D. Anaelekea shuleni badala ya malishoni.
- Question 8: Somo alilofanikiwa zaidi Omondi huko shuleni ni laAnswer: B. Hisabati
- Question 9: Omondi alifunga mabao mangapi?Answer: D. Hatujaelezwa.
- Question 10: Neno wavyele linamaanishaAnswer: D. wazazi.
- Question 11: Miti iliyonawiri huwa ni ya rangi gani?Answer: C. Kijani kibichi
- Question 12: Miti ina manufaa mengi. Ni ipi si faida ya miti?Answer: A. Miti huleta mafuriko.
- Question 13: Ni kipi kati ya vifaa hivi kisichoundwa kwa mbao?Answer: D. Zulia.
- Question 14: Jina 'uzio' limepigiwa kistari. Jina hili ni sawa naAnswer: A. ua
- Question 15: Miti ifuatayo huzaa matunda isipokuwaAnswer: C. Mvinje
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo 16.Answer: A. umo
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo 17.Answer: A. kwa
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo 18.Answer: C. Si
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo 19.Answer: B. kumwona
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo 20.Answer: C. kabla
- Question 21: Kutoka swali la 21 hadi 30 jibu kulingana na maagizo. Ni upi si msamiati wa adabu.Answer: B. Anahara
- Question 22: Chagua sentensi sahihi.Answer: C. Mimi ndimi niliyemsaidia
- Question 23: Kanusha sentensi hii. "Umekula nilichokupikia."Answer: D. Hujala nilichokupikia.
- Question 24: Ni ipi si nomino ya makundi?Answer: D. Wiki moja.
- Question 25: Ni salamu zipi si za asubuhi?Answer: C. Alamsiki
- Question 26: Samaki ___ ni wakubwa sana.Answer: A. hao
- Question 27: Siafu ___ huuma watu.Answer: C. hawa
- Question 28: Aliandika barua ___ kalamu ya wino.Answer: B. kwa
- Question 29: Tambua nomino ambata katika sentensi hizi. Wanajeshi walionyesha uzalendo kwa kulinda mipaka ya nchi.Answer: A. Wanajeshi
- Question 30: Wanakijiji walitunza mazingira yao kwa kupanda miti.Answer: D. Wanakijiji.