CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 24
Ni ipi si nomino ya makundi?
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino za Makundi
24. Ni ipi si nomino ya makundi?
- AMwongo wa miaka
- BTita la kuni
- CBunda la noti
- DWiki moja.
Answer
D. Wiki moja.
Mwongo, tita na bunda ni makundi; "wiki moja" si nomino ya makundi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni salamu zipi si za asubuhi?Question 25
- Samaki ___ ni wakubwa sana.Question 26
- Siafu ___ huuma watu.Question 27
- Aliandika barua ___ kalamu ya wino.Question 28
- Tambua nomino ambata katika sentensi hizi. Wanajeshi walionyesha uzalendo kwa kulinda mipaka ya nchi.Question 29
- Wanakijiji walitunza mazingira yao kwa kupanda miti.Question 30