CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 29
Tambua nomino ambata katika sentensi hizi. Wanajeshi walionyesha uzalendo kwa kulinda mipaka ya nchi.
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino Ambata
29. Tambua nomino ambata katika sentensi hizi.
Wanajeshi walionyesha uzalendo kwa kulinda mipaka ya nchi.
- AWanajeshi
- BNchi
- CUzalendo
- DKulinda.
Answer
A. Wanajeshi
Wanajeshi = wana + jeshi: nomino ambata.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Wanakijiji walitunza mazingira yao kwa kupanda miti.Question 30
- Nuru alifanya kitu gani cha kwanza alipofika nyumbani kutoka sokoni?Question 1
- Damu iliyokuwa mdomoni mwa paka ilikuwa yaQuestion 2
- Unadhani ni kwa nini Nuru alimkatakata paka?Question 3
- Paka alikuwa amefunzwaQuestion 4
- Lengo la Nuru kwenda sokoni lilikuwaQuestion 5