CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 30
Wanakijiji walitunza mazingira yao kwa kupanda miti.
From Kiswahili — End Term Assessment 2025 (Set 6) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino Ambata
30. Wanakijiji walitunza mazingira yao kwa kupanda miti.
- AMazingira
- BKupanda
- CWalitunza
- DWanakijiji.
Answer
D. Wanakijiji.
Wanakijiji = wana + kijiji: nomino ambata.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Nuru alifanya kitu gani cha kwanza alipofika nyumbani kutoka sokoni?Question 1
- Damu iliyokuwa mdomoni mwa paka ilikuwa yaQuestion 2
- Unadhani ni kwa nini Nuru alimkatakata paka?Question 3
- Paka alikuwa amefunzwaQuestion 4
- Lengo la Nuru kwenda sokoni lilikuwaQuestion 5
- Mazoea ya Omondi awali yalikuwa niQuestion 6